Connect with us

Video | Rebecca Boniphace – Ni Bure | Download

Video

Video | Rebecca Boniphace – Ni Bure | Download

Video: Rebecca Boniphace - Ni Bure

Kwa mara nyingine tena Rebecca Boniphace mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ameachia video mpya ya wimbo unaoitwa Ni Bure.

Video hii imeongozwa na director Willy, Muziki ukiwa umetayaarishwa na prodyuza Enock Jonas.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Rebecca Boniphace wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 716 769 414
Facebook: Rebecca Boniphace
Instagram: @rebeccaboniphace
Youtube: REBECCA BONIPHACE OFFICIAL

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,401 other subscribers

To Top