Connect with us

Gospo Media

Video | Paul Nhiga – Pendo Lako | Download

Video

Video | Paul Nhiga – Pendo Lako | Download

Video: Paul Nhiga - Pendo Lako

Baada ya kimya cha muda mrefu kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 Paul Nhiga mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa Pendo Lako.

Pendo Lako ni wimbo unaoeleza ni namna gani pendo la Mungu ni kuu, linadhihirika hata kwenye mapungufu yetu, mtunzi Paul Nhiga amejidhihirisha mwenyewe kupitia utunzi wake namna anavyofurahia kupendwa na Mungu pamoja na mapungufu yake aliyonayo lakini Mungu akimtizama anamwona kakamilika tofauti na binadamu watizamavyo. Hakika huu ni wimbo ambao pia umelenga kumuunganisha kila mtu kwa Mungu na kumtafakari kwa namna atakavyoguswa.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Paul Nhiga wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 683 009 208
Facebook: Paul Nhiga
Instagram: @paul_nhiga
Youtube: Paul Nhiga

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top