Connect with us

Video: Supa Newe – Neno (The Anointed One) ft. Mgabo | Listen/Download MP3

Video

Video: Supa Newe – Neno (The Anointed One) ft. Mgabo | Listen/Download MP3

Video: Supa Newe - Neno (The Anointed One) ft. Mgabo | Listen/Download MP3

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako rapa wa nyimbo za Injili Supa Nawe a.k.a The Anointed One na hii ni video yake mpya inayoitwa NENO aliyoiachia wiki chache zilizopita akiwa amemshirikisha Mgabo.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii iliyobeba habari njema tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Supa Newe wasiliana naye kupitia:

Simu/WhatsApp: +255 767 526 240
Facebook: Supa Newe
Instagram: @supanewe
Youtube: Supa Newe {The Anointed}

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,697 other subscribers

To Top