Connect with us

Gospo Media

Watch Video | Sifaeli Mwabuka – Herode | MP3 Download

Video

Watch Video | Sifaeli Mwabuka – Herode | MP3 Download

Sifaeli Mwabuka - Herode

Sifaeli Mwabuka ni moja kati ya waimbaji wakongwe na wenye ushawishi mkubwa nchini Tanzania na leo hii tumekusogezea video yake mpya ya wimbo unaoitwa Herode.

Herode ni moja ya wimbo unaopatikana kwenye albamu yake ya nne inayobebwa kwa jina la MTUKUZE MUNGU TU hii ikiwa ni albamu yake mpya baada ya zile tatu alizoachia miaka michache iliyopita ikiwemo Heri Lawama na ile ya Shuka Mungu Wetu Tukuone.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mwimbaji Sifaeli Mwabuka wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 719 482 223
Facebook: Sifaeli Mwabuka
Instagram: @sifaelimwabuka
Youtube: Sifaeli Mwabuka

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top