Connect with us

Audio: Shari – Zamu Yangu | Listen/Download MP3 [Free Gospel Song]

Audio

Audio: Shari – Zamu Yangu | Listen/Download MP3 [Free Gospel Song]

Audio: Shari - Zamu Yangu | Listen/Download MP3 [Free Gospel Song]

Kutoka kwenye albamu yake inayoitwa Zamu Yangu leo tumekusogezea wimbo unaobeba jina la albamu hiyo kutoka kwa mwimbaji anayejulikana kwa jina la Rehema Magelanga a.k.a Shari.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Shari wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 763 231 052
Youtube: shari sampamba

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,697 other subscribers

To Top