Connect with us

Gospo Media

Video: Seyi Oluwafemi – In your Presence

Video

Video: Seyi Oluwafemi – In your Presence

Video: Seyi Oluwafemi - In your Presence

Seyi Oluwafemi ni mwimbaji wa nyimbo za Injili mwenye asili ya nchi ya Nigeria japo kwasasa anamtumikia Mungu akiwa nchini marekani na huu ni wimbo wake mpya wa kuabudu unaoitwa In your Presence.

“In your Presence is a song coming off his recently released album, Grace of God available worldwide on all digital stores and streaming platforms. This worship song talks about individuals coming to a place of longing for more of God’s presence.” – Seyi Oluwafemi

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuguswa kwa namna ya pekee, Amen.

Social Media Connection:
Instagram: @seyi_oluwafemi
Twitter: @SeyiOluwafemi1
YouTube: Seyi Oluwafemi

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top