Video | Sayuni Mrita - Unfailing Love Feat. Peter Mshana | Download - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video | Sayuni Mrita – Unfailing Love Feat. Peter Mshana | Download

Video

Video | Sayuni Mrita – Unfailing Love Feat. Peter Mshana | Download

Video: Sayuni Mrita - Unfailing Love Feat. Peter Mshana

Kutoka mjini Morogoro kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea video mpya ya wimbo wa kuabudu unaoitwa Unfailing Love kutoka kwa mtumishi wa Mungu Sayuni Mrita akiwa amemshirikisha Peter Mshana.

“Your unfailing love oh Lord is as vast as heavens; your faithfulness reaches beyond the clouds… Psalms (36:5-7 Ee Bwana, fadhili zako zafika hata mbinguni, Uaminifu wako hata mawinguni… Zaburi 36:5-7).”

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiwa na hakika kuwa itakubariki kila wakati, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mtumishi wa Mungu Sayuni Mrita wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 686 815 115
Facebook: Sayuni Mariki-Mrita
Instagram: @sayuni_mrita
Youtube: Sayuni Mariki-Mrita

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top