Connect with us

Video: Sammy John – Tawala | Listen/Download MP3

Video

Video: Sammy John – Tawala | Listen/Download MP3

Video Sammy John - Tawala

Sammy John ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Mwanza na hii ni video yake mpya inayoitwa TAWALA ikiwa ni video yake ya kwanza kuachia kwa mwaka 2019.

“Tawala ni wimbo unaomhusu mtu anayewasilisha maombi yake kwa Mungu juu ya maisha yake aliyo nayo, anakabidhi maisha yake kwa Mungu anaomba Mungu atawale kila kitu anacho kifanya.” – alisema Sammy.

Video hii imeongozwa na Double A Studio muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Sun Studio chini ya mikono ya prodyuza Joel.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Sammy John wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 767 807 978 au
Instagram: @sammyjohn_official
Youtube: SammyJohn official

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,698 other subscribers

To Top