Connect with us

Gospo Media

Audio: Rungu la Yesu Feat. Walter Chilambo – Kibali

Audio

Audio: Rungu la Yesu Feat. Walter Chilambo – Kibali

Audio: Rungu la Yesu Feat. Walter Chilambo - Kibali

Mkali wa miondoko ya kufokafoka al maarufu Rungu la Yesu kwa mara nyingine tena amedondosha bonge la wimbo wake mpya unaoitwa KIBALI akiwa amemshirikisha mkali wa sauti kutoka Tanzania Walter Chilambo.

KIBALI ni wimbo unaotoa maonyo na mafundisho kwa vijana na wote waaminio katika Yesu kristo kwamba ili uweze kufanikiwa katika maisha lazima upate ruhusa kutoka kwa Mungu mwenyewe kwakua yeye ndiye pekee anayetoa neema na uwezo wa kufanya vitu vikubwa kwa ajili ya ufalme wake na hicho ndicho kile tunachokiita KIBALI.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utakubariki na kukuwekea jambo jipya ndani yako, Amen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na Rungu la Yesu wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 712 348 032
Facebook: Rungu la Yesu
Instagram: @rungulayesu
Youtube: Rungu La YESU

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top