Connect with us

Gospo Media

Audio | Raichars Pantu – Ni wewe | Download

Audio

Audio | Raichars Pantu – Ni wewe | Download

Audio: Raichars Pantu - Ni wewe

Kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Raichars Pantu mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Mwanza Tanzania na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Ni wewe.

“Ni wewe ni wimbo ambao binafsi namshukuru Mungu kwa matendo aliyonitendea maana nikiangalia mazingira niliyopitia mpaka nimefika hapa bila MUNGU nisingefanyika chochote . Mengi yalizungumzwa na watu waliokuwa wananizunguka kuhusu huduma yangu na masomo yangu lakini mwisho wa siku naona Mungu akitenda upande wangu.” – alisema Raichars Pantu

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Raichars Pantu wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 657 784 371
Facebook: Raichars Pantu
Instagram: @raicharspantu
Youtube: Raichars Pantu

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top