Connect with us

Video: Paul Clement Feat. Calvin John – Atainyosha Njia Yako | Listen/Download MP3

Video

Video: Paul Clement Feat. Calvin John – Atainyosha Njia Yako | Listen/Download MP3

Video: Paul Clement Feat. Calvin John - Atainyosha Njia Yako | Listen/Download MP3

Kwa mara nyingine tena mkali wa nyimbo za Injili Tanzania al maarufu Paul Clement ameachia (live version) ya video ya wimbo wake unaoitwa Atainyosha Njia Yako akiwa na Calvin John.

Atainyosha Njia Yako ni moja ya wimbo unaotengeneza album yake ya AWE ambayo ni Live Recording.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa na kuguswa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Paul Clement kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 625 661 862 au +255 719 367 002
Facebook: Paul Clement
Instagram: @minister_paulclement
YouTube: Paul Clement

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,401 other subscribers

To Top