Connect with us

Gospo Media

Audio | Patrick Teleli – Imelipwa | MP3 Download

Audio

Audio | Patrick Teleli – Imelipwa | MP3 Download

Audio | Patrick Teleli - Imelipwa | MP3 Download

Patrick Teleli ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania na huu ni wimbo wake mpya wa kuabudu unaoitwa Imelipwa.

“Msalaba wa YESU ndiyo chanzo cha ushindi wetu ulikuwa ni msalaba wa kipekee kwani wayahudi hutesa watu wenye makosa kwa msalaba lakini Bwana Yesu alikuwa hana hatia… Sisi kama wana wa Mungu tunashukuru kwa upendo huu wa ajabu kwani kwa kupigwa kwake sisi tumepona tumeoshwa kwa damu yake KRISTO tulitangaziwa msamaha wa dhambi madeni yetu yote yalilipwa pale msalabani magonjwa yote yalimalizwa pale.” – alisema Patrick Teleli

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa kila wakati, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Patrick Teleli wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 678 771 496
Instagram: @minister_patricpeleli
Youtube: patrick teleli

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top