Connect with us

Gospo Media

Video: Pammy Ramz – Niongoze

Video

Video: Pammy Ramz – Niongoze

Video: Pammy Ramz - Niongoze

Kutoka nchini Kenya leo nimekusogezea video ya wimbo unaoitwa Niongoze kutoka kwa Pammy Ramz akitokea jijini Nairobi.

Video hii imeongozwa na director Mike Zero, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Magambo the producer.

Naamini kuwa kupitia video ya wimbo huu utabarikiwa na kuinuliwa kila iitwapo leo, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Pammy Ramz wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 723 533591
Facebook: Pammy Ramz
Instagram: @pammyramz
Youtube: Pammy Ramz Official

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top