Video
Video | Papaa Kiza – Nakupenda | Download
Kutoka jijini Arusha kwa mara nyingine tumekusogezea video ya wimbo mpya unaoitwa Nakupenda kutoka kwa Papaa Kiza.
Nakupenda Imebeba Ujumbe wa kumsifu na Kumshukuru Mungu, Ni kweli tunapitia nyakati tofauti tofauti katika Maisha Ila Mungu atabaki kuwa Mungu.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Papaa Kiza kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 048 307
Facebook: Papaa Kiza
Instagram: @papaakiza_
Youtube: papaa kiza
