Connect with us

Video | Mr. Seed – Siwezi | Download

Video

Video | Mr. Seed – Siwezi | Download

Video: Mr. Seed - Siwezi

Mkali wa nyimbo za Injili nchini Kenya Mr. Seed kwa mara nyingine tena leo ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa SIWEZI.

Video imeongozwa na director Ivan, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Starborn Empire chini ya mikono ya prodyuza Alexis.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media:
Facebook: Mr Seed
Instagram: @mrseedofficial
Youtube: MrSeedOfficial Music

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,401 other subscribers

To Top