Connect with us

Gospo Media

Video | Mireille Basirwa – Neema | Download

Video

Video | Mireille Basirwa – Neema | Download

Mireille Basirwa - Neema

Kutoka Belgium kwa mara nyingine tena tumekusogezea video ya wimbo mpya unaoitwa Neema kutoka kwa mwimbaji wa kimataifa Mireille Basirwa.

“Hakika Mungu ni wa tofauti, Upendo wake ni tofauti na ule wa wanadamu, Watu huchagua walio tajiri zaidi, wenye furaha zaidi au wenye akili zaidi. Lakini wewe ni Mungu wa kweli upendo wako haubagui, Neema yako imenifanya kuwa mimi nilivyo leo, Asante Mungu kwa Neema yako.” – Neema

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media
Facebook: Mireille Basirwa
Instagram: @mireillebasirwa
YouTube: MireilleBasirwaOfficial

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top