Connect with us

Video | Mercy Masika – Muite Yesu | Download

Video

Video | Mercy Masika – Muite Yesu | Download

Video: Mercy Masika - Muite Yesu

Baada ya kuachia video ya wimbo uitwao I Love Your Story mwezi uliopita kwa mara nyingine tena mwimbaji maarufu nchini Kenya Mercy Masika ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa Muite Yesu.

Video hii imeongozwa na Still Alive Production, Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Still Alive pia.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki na kukugusa kila siku, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: MercymasikaKE
Instagram: @mercymasikamuguro
Twitter: @mercymasika
YouTube: Mercy Masika

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,401 other subscribers

To Top