Connect with us

Gospo Media

Audio | Mc Kingu – Nani Kama Mama | Download

Audio

Audio | Mc Kingu – Nani Kama Mama | Download

Mc Kingu - Nani Kama Mama

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara nyingine tena katika mwaka 2019 tunautambulisha kwako wimbo mpya unaoitwa Nani Kama Mama kutoka kwa Mc Kingu.

“Nani Kama Mama ni wimbo niliouimba ili kutoa shukrani kwa akina mama wote duniani kwa kutuzaa na kutulea kwani bila wao sidhani kama tungekuwa hivi tulivyo leo. Kuna muda wanapitia mazingira magumu sana kutulea lakini wanajitahidi tu ili kuhakikisha tuko salama, hvyo ninawaombea akina Mama wote akiwemo Mama yangu mzazi (Mama Victor) Mungu awatunze na awabariki.” – alisema Mc Kingu

Mbali na karama ya uimbaji MC Kingu pia ni Mshereheshaji(MC) katika shughuli mbambali kama vile mikutano, harusi na sherehe mbalimbali.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Mc Kingu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 688 464 475, +255 745 751 848
Facebook: Mc Kingu
Instagram: @mckinguevents
Youtube: Mc Kingu

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top