Connect with us

Gospo Media

Download Audio: Martha Mwaipaja – Mbingu Zimefunguka | MP3 Download

Audio

Download Audio: Martha Mwaipaja – Mbingu Zimefunguka | MP3 Download

Audio | Martha Mwaipaja - Mbingu Zimefunguka | Download

Baada ya mwezi Juni 2019 kuachia wimbo uitwao Amenitengeneza Kwa mara nyingine tena mwimbaji mkongwe wa nyimbo za Injili Martha Mwaipaja ameachia wimbo wake mpya wa kuabudu unaoitwa Mbingu Zimefunguka.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa siku zote, Ameen.

Kwa mawasiliano zaidi na Martha Mwaipaja wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 719 470 375
Facebook: Martha Mwaipaja
Instagram: @marthamwaipaja
Youtube: Martha Mwaipaja

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top