Connect with us

Video | Joshua Lugendo – Makerubi | MP3 Download

Video

Video | Joshua Lugendo – Makerubi | MP3 Download

Video | Joshua Lugendo - Makerubi | Download

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Joshua Lugendo mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam na hii ni video yake mpya ya wimbo unaoitwa Makerubi ikiwa ni moja kati ya nyimbo zilizopata umaarufu mkubwa kuimbwa katika makanisa mbalimbali toka mwaka 2017.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Joshua Lugendo wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 657 589 542 au +255 753 662 444
Facebook: Joshua Lugendo
Instagram: @joshualugendo
Twitter: @joshualugendotz
Youtube: Joshua Lugendo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,401 other subscribers

To Top