Connect with us

Gospo Media

Audio | John Lihawa – Wake Up Call | Download

Audio

Audio | John Lihawa – Wake Up Call | Download

Audio: John Lihawa - Wake Up Call

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 leo tunautambulisha wimbo mpya unaoitwa Wake Up Call kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa kufokafoka anayefahamika kama John Lihawa.

“Wake Up Call ni sehemu ya mradi wa ASIPOTEE HATA MMOJA (EP Project) mradi uliokusudia kuwaleta watu kwa Yesu Kristo kama mwitikio wa wito mkuu wa kuihubiri habari njema iletayo wokovu kwa kila kiumbe (Marko 16:15).

Lakini pia najaribu ku-inspire kizazi cha sasa kwamba KUMKUBALI YESU KRISTO kama Bwana na Mwokozi wa maisha yetu sio ushamba ila kimsingi ni ujanja kwa maana Yesu Kristo ndio daraja pekee la kuwa na mahusiano ya moja kwa Moja na Baba yetu wa Mbinguni (Yohana 14:6).” – alisema John Lihawa

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika kuna jambo jipya litakaa ndani yako, Barikiwa!

Kwa mawasiliano zaidi na John Lihawa wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 717 523 620
Facebook: John Lihawa
Instagram: @johnlihawa
Youtube: John Lihawa

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top