Connect with us

Gospomedia

Watch Video: Irene Robert – Tembea | Download MP3 Audio

Video

Watch Video: Irene Robert – Tembea | Download MP3 Audio

Watch Video: Irene Robert - Tembea | Download MP3 Audio

Irene Robert ni mwimbaji wa nyimbo za Injili anayeendelea kufanya vizuri katika anga la muziki wa Injili Tanzania na Afrika Mashariki, Na kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa TEMBEA.

Video hii imeongozwa na director Einxer, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza YZ Manamba.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa kila wakati utakapokuwa unaitazama.

Kwa mawasiliano zaidi na Irene Robert wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 756 592 093
Facebook: Irene Robert
Instagram: @irenerobertofficial
Youtube: Irene Robert

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top