Connect with us

Audio MP3 | Ipyana Living – Fanya Njia | Listen/Download [Free Gospel Song]

Audio

Audio MP3 | Ipyana Living – Fanya Njia | Listen/Download [Free Gospel Song]

Audio MP3 | Ipyana Living - Fanya Njia | Listen/Download [Free Gospel Song]

Kutoka jijini Mbeya kwa mara nyingine tena tunautambulisha kwako wimbo mpya unaoitwa Fanya Njia kutoka kwa Ipyana Living.

FANYA NJIA ni wimbo unaelezea jinsi gani Mungu anaweza kufanya njia iliyo ya kweli na ya uzima na kuweza kukubadilisha na kukufikisha Kule aliko kuandalia, Kwani yeye ndiye mwanzo na mwisho na hata milele, Amina.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Ipyana Living wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 745 879 917
Facebook: Ipyana Living
Instagram: @ipyanliving
Youtube: Ipyana living

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na jukwaa la gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,056 other subscribers

Akawaambia, Nendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.Marko 16:15 – 16

To Top