Connect with us

Video: Guardian Angel – Kuongozwa | Listen/Download MP3 [Free Gospel Song]

Video

Video: Guardian Angel – Kuongozwa | Listen/Download MP3 [Free Gospel Song]

Video: Guardian Angel - Kuongozwa | Listen/Download MP3 [Free Gospel Song]

Kwa mara nyingine tena kutoka jijini Nairobi leo tumekusogezea video ya wimbo unaoitwa Kuongozwa kutoka kwa mkali wa nyimbo za Injili nchini Kenya al maarufu Guardian Angel.

Video hii imeongozwa na director Kevin Current, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Simba Sound Production chini ya mikono ya prodyuza Vicky Pondis.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu, Ni imani yetu kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media:
Facebook: Guardian Angel
Instagram: @guardianangelglobal
Youtube: Guardian Angel Global

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,702 other subscribers

To Top