Video | Gladys Chabor - iWorship | Download - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video | Gladys Chabor – iWorship | Download

Video

Video | Gladys Chabor – iWorship | Download

Video: Gladys Chabor - iWorship

Kutoka nchini Nigeria leo tunaitambulisha kwako video mpya ya wimbo mzuri wa kuabudu unaoitwa iWorship kutoka kwa mtumishi wa Mungu al maarufu Gladys Chabor.

“I sing for a purpose, for a kingdom whose maker is God. I worship with my voice and all I got. iWorship is not another worship song. It is a person whose eternal life is bursting with vitality, glowing so much she can’t help but translate that life, that joy into songs.” – @gladyschabor

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video nzuri ya wimbo huu tukiamini kuwa utagusa kwa namna ya pekee, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: Glady Chabor
Instagram: @gladyschabor
Website: gladyschabor.com
YouTube: Gladys Chabor

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top