Connect with us

Gospo Media

Audio | Gerson Gershom – Ninaimba | Download

Audio

Audio | Gerson Gershom – Ninaimba | Download

Gerson Gershom - Ninaimba

Gerson Gershom ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Mwanza na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Ninaimba.

Ninaimba ni wimbo wa sifa na shukrani kwa Mungu kwa fadhili zake zilizotenda mambo makuu katika maisha yetu bila kujali madhaifu yaliyo ndani yetu bado upendo wa Mungu umeonekana kwetu kwa kiwango kikubwa sana ndio maana leo tunaimba.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Gerson Gershom wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 719 752 302
Facebook: Gerson Gershom
Instagram: @gersongershom
Youtube: Gerson Gershom

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top