Connect with us

Video: George William – Madhabahu Ya Sifa | Listen/Download [Free Gospel Music]

Video

Video: George William – Madhabahu Ya Sifa | Listen/Download [Free Gospel Music]

Video: George William - Madhabahu Ya Sifa | Listen/Download [Free Gospel Music]

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako George William mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam Tanzania.

Madhabahu Ya Sifa (Alter of Praise) is a prayer and adoration song with desire of drawing our hearts closer to God as Alters of praise.

Madhabahu Ya Sifa ni wimbo unaobeba jina la albamu yake ya kwanza aliyoizindua tarehe 30 Juni 2019 ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo za sifa na kuabudu katika mfumo wa Audio CD.

Video hii imeongozwa director Einxer, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Frester’s Records chini ya mikono ya prodyuza Innocent Mujwahuki.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii nzuri na njema tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na George William wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 717 805 890
Facebook: George William
Instagram: @george_william07
Youtube: George William

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,702 other subscribers

To Top