Connect with us

Gospo Media

Watch Video: Evelyn Wanjiru – Bless the Lord | Listen/Download MP3

Video

Watch Video: Evelyn Wanjiru – Bless the Lord | Listen/Download MP3

Evelyn Wanjiru - Bless the Lord

Kutoka nchini Kenya kwa mara nyingine tena tumekusogezea video(live version) ya wimbo unaoitwa Bless the Lord kutoka kwa mtumishi wa Mungu Evelyn Wanjiru, Live hii ilifanyika kwenye tamasha la Praise Atmosphere 2018 huko nchini Kenya.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu uliobeba habari njema kwa ajili yako, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Evelyn Wanjiru wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 728 422084
Facebook: Evelyn Wanjiru
Instagram: @evelyn_wanjiru
Twitter: @evelynwanjiru_a
Youtube: Evelyn Wanjiru

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top