Connect with us

Gospo Media

Audio | Doris Manyenye – Mwenyewe Nisingeweza | Download

Audio

Audio | Doris Manyenye – Mwenyewe Nisingeweza | Download

Audio: Doris Manyenye - Mwenyewe Nisingeweza

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako Doris Manyenye mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Kilwa Tanzania na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Mwenyewe Nisingeweza.

“Wimbo huu unakiri kwamba kuna vitu au mambo huwa tunayafanya na kujikuta tunapita katika nyakati nguma na za shida lakin siyo sisi ambao tunashinda au tunaweza bali ni Yesu pekee anayeweza kututetea na kutupitisha katika yote hayo, Na tusichoke bali tuendelee kumsihi na kumwomba awe nasi ili tusije tukarudi nyuma au kukata tamaa maana safari bado.” – alisema Doris Manyenye

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Doris Manyenye wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 757 004 228
Instagram: @dorisnjale
Youtube: Doris Manyenye

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top