Connect with us

Gospo Media

Watch Video | Dar Mjomba – Tunapendana | Download MP3

Video

Watch Video | Dar Mjomba – Tunapendana | Download MP3

Watch Video | Dar Mjomba - Tunapendana | Download MP3

Kwa mara nyingine tena kutoka nchini Kenya tumekusogezea video ya wimbo mpya unaoitwa Tunapendana kutoka kwa Dar Mjomba.

Video hii imeongozwa na director Bakari Ousman, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Produza Paulo kutoka Safri Records.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa na kuguswa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Dar Mjomba wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 739 492928
Facebook: Dar Mjomba
Instagram: @darmjomba
Youtube: Dar Mjomba Music

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top