Connect with us

New Video: Calvin John – Nimfananishe | MP3 Free Download

Video

New Video: Calvin John – Nimfananishe | MP3 Free Download

New Video: Calvin John - Nimfananishe | MP3 Free Download

Kutoka jijini Dar es salaam leo tumekusogezea video mpya kabisa inayoitwa Nimfananishe kutoka kwa mkali wa sauti katika anga la muziki wa Injili nchini Tanzania na huyu si mwingine bali ni Calvin John.

Ni hakika kupitia video ya wimbo huu utapata kubarikiwa na kuguswa kwa namna ya pekee kupitia kipawa cha mwimbaji huyu, Karibu kutazama.

Kwa mawasiliano zaidi na Calvin John wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 676 154 912
Facebook: Calvin John
Instagram: @calvinjohn_official
Youtube: Calvin John

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,702 other subscribers

To Top