Connect with us

Video: Amnobe Pilipili ft. Cadeu John K. – Ijalizeni Furaha Yangu | Listen/Download MP3

Video

Video: Amnobe Pilipili ft. Cadeu John K. – Ijalizeni Furaha Yangu | Listen/Download MP3

Amnobe Pilipili ft. Cadeu John K. - Ijalizeni Furaha Yangu

Amnobe Pilipili ni moja kati ya waimbaji wanaoendelea kufanya vizuri kwenye anga la muziki wa Injili kwa lugha ya kiswahili huko nchini Marekani na kwa mara nyingine tena tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa Ijalizeni Furaha Yangu.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Amnobe Pilipili wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (919) 864-5704
Facebook: Amnobe Pilipili
Instagram: @amnobepilipili
Youtube: amnobe pilipili

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,697 other subscribers

To Top