Connect with us

Gospo Media

Watch Video | Aaron K – Umenibeba Yesu | Download MP3

Video

Watch Video | Aaron K – Umenibeba Yesu | Download MP3

Watch Video | Aaron K - Umenibeba Yesu | Download MP3

Kutoka Tanzania leo tumekusogezea tena video mpya inayoitwa Umenibeba Yesu kutoka kwa Aaron K mwimbaji wa nyimbo za Injili akitokea jijini Dar es salaam.

“SHALOM!! Kwa NEEMA ya MUNGU nakukaribisha kutazama video hii inayo kwenda kwa jina la #UMENIBEBAYESU.. Wimbo huu una ujumbe wa kumshukuru Bwana yesu Kwa yale aliyo yafanya katika Maisha Yetu ni Hakika Neema Yake IMETUBEBA.. BARIKIWA NA WIMBO HUU PIA SHARE NA MARAFIKI WABARIKIWE PIA” – Aaron K

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Aaron K kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 718 836 372
Facebook: Aaron-K
Instagram: @aaron_k_official
Youtube: Aaron K Official TZ

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top