Video: Vince Joyn - Niongoze - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Vince Joyn – Niongoze

Video

Video: Vince Joyn – Niongoze

Video Vince Joyn - Niongoze

Baada ya siku chache zilizopita kuachia video ya wimbo unaoitwa Amenitengeneza kwa mara nyingine tena mwimbaji Vince Joyn kutoka nchini Marekani ameachia wimbo mpya unaoitwa Niongoze.

Video hii imeongozwa na director LLoyd kutoka Dimensio Pictures, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Ringtone Beats.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Vince Joyn kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (515) 779-4410
Facebook: Vince Joyn
Instagram: @vincejoyn
Twitter: @vincejoyn
Youtube: Vince Joyn

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top