Video: Vince Joyn - Amenitengeneza - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Vince Joyn – Amenitengeneza

Video

Video: Vince Joyn – Amenitengeneza

Video: Vince Joyn - Amenitengeneza

Baada ya wiki chache zilizopita kuachia wimbo unaoitwa Amenitengeneza kwa mara nyingine tena mwimbaji Vince Joyn kutoka nchini Marekani ameachia video ya wimbo huo rasmi.

“Amenitengeneza ni wimbo unaogusia ukuu wa Mungu katika maisha yetu. Wimbo huu nimeuandika wakati moyo wangu ulikua umeumia sana kwa sababu ya vijana wengi, lakini pia wakubwa, wanaojisahau na kupotea njia kwa kutawaliwa na ugomvi, ulevi, bangi na mala nyingi kujikuta magerezani au kupoteza baraka alizowaandalia Mungu.  Basi kwenye maono hayo, nikawa nimeongozwa kuandika wimbo nikiwashawishi watu, hasahasa vijani kujivunia wokuvu tulopewa na mwokozi wetu.  Maono yangu ni Kwamba:

1. Wote wacheze wakijivunia wokovu huo…yaani kila mtu acheze apendavyo akimpa Mungu heshima.

2. Kwenye baa na clubs, wimbo huu upigwe na watu wacheze sanaaaaa.

3. Basi nguvu ya Mungu ishuke na kuwabadirisha wote, Na matarajio yangu Ninaamini wengi watajirudi na kuwa waminifu kwa Mungu.” – alisema Vince

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utakugusa na kukubariki kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Vince Joyn kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (515) 779-4410
Facebook: Vince Joyn
Instagram: @vincejoyn
Twitter: @vincejoyn
Youtube: Vince Joyn

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top