Connect with us

Gospo Media

Video: Mic Gower Feat. Jesse xibona – Ooh My God

Video

Video: Mic Gower Feat. Jesse xibona – Ooh My God

Video Mic Gower Feat. Jesse xibona - Ooh My God

Baada ya wiki chache zilizopita kuachia wimbo unaoitwa Ooh My God Kwa mara nyingine tena katika mwaka 2019 rapa Mic Gower ameachia video ya wimbo huo akiwa amemshirikisha rapa Jesse Xibona.

Video hii imeongozwa na director Bony Albert, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Vortex akishirikiana na Elly Da Bwai.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa.. #OhMyGod

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na rapa Mic Gower kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 653 664 848
Facebook: Mic Gower | Jesse Xibona
Instagram: @degower | @jessexibona
Youtube: Mic Gower

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,130 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top