Video: Mercy Chinwo - Chinedum - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Mercy Chinwo – Chinedum

Video

Video: Mercy Chinwo – Chinedum

Video: Mercy Chinwo - Chinedum

Baada ya kuachia video ya wimbo uitwao Oh Jesus mwezi April 2019 kwa mara nyingine tena kutoka nchini Nigeria mwimbaji maarufu Mercy Chinwo ameachia video ya wimbo unaoitwa Chinedum.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii ambayo ni hakika kuwa itakubariki na kukugusa kwa namna ya pekee, Amen.

Social Media:
Twitter: @Mercychinwo
Instagram: @mercychinwo
Facebook: Mercy Chinwo

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top