Video: Malvi - Nani Gi (Only You) - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Malvi – Nani Gi (Only You)

Video

Video: Malvi – Nani Gi (Only You)

Video: Malvi - Nani Gi (Only You)

Kutoka nchini Nigeria kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa Nani Gi (Only You) kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kama Malvi.

“Nani Gi came as a thanksgiving song during the preparation for my concert last year. The mere fact that we could pull it off was just mind blowing. So, I just wanted to honour God for every good thing He has added in my life. Our God deserves our praise.”

Video hii imeongozwa na director Oluyinka Davids, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza HillsPlay & Joshdaf.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: Shonaman.ppa
Instagram: @malvisings
Twitter: @malviSings
YouTube: Malvi Music

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top