Connect with us

Video: Jessica Honore – Nakushukuru

Video

Video: Jessica Honore – Nakushukuru

Video: Jessica Honore - Nakushukuru

Baada ya wiki chache zilizopita kuachia wimbo uitwao Nakushukuru kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania maarufu kama Jessica Honore ameachia video ya wimbo huo ikiwa imeongozwa na director Yotham Lyoba.

“Nakushukuru ni wimbo wa kuabudu na kumshukuru Mungu. Kama neno lake linavyosema, ingieni malangoni mwake kwa shukurani.” – alisema Jessica Honore

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Jessica Honore kupitia
Simu/WhatsApp: +255 712 332 007
Facebook: Jessica Honore bm
Instagram: @officialjessica
YouTube: Jessica Honore Bm

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,702 other subscribers

To Top