Connect with us

Video: Gift Dennis – Able God

Video

Video: Gift Dennis – Able God

Video: Gift Dennis - Able God

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa Able God kutoka kwa mwimbaji Gift Dennis.

“Able God is a song inspired by 2 Chronicles 20:21-22 and it admonishes believers on the importance of praise as a weapon of warfare. There’s power in praise. Try praising God with reckless abandon today and watch God come through for you!” – Gift Dennis

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utakubariki, Amen.

Social Media:
Facebook: GiftDennis4 (Dennis Gift Chinonye)
Instagram: @GiftDennis4
Twitter: @GiftDennis4
YouTube: Gift Dennis Music

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,697 other subscribers

To Top