Video: Generation of Worshipers - Yesu Ndani Yangu - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Generation of Worshipers – Yesu Ndani Yangu

Video

Video: Generation of Worshipers – Yesu Ndani Yangu

Video: Generation of Worshipers - Yesu Ndani Yangu

Kutoka jijini Dar es salaam leo tumekusogezea video ya wimbo unaoitwa Yesu Ndani Yangu kutoka kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania linalofahamika kwa jina la Generation Worshipers.

Generation Worshipers Band ni kundi linaloundwa na vijana wenye wito na moto wa kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji ambapo kwasasa wapo chini ya uongozi wa lebo ijulikanayo kama PKAY ENTERTAINMENT.

Video hii imeongozwa na director @bony_albert, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Blessed Music Industry (BMI) chini ya mikono ya prodyuza Erick Liundi.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na uongozi wa kundi la Generation Worshipers kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 759 611 467
Facebook: Generation of Worshipers Band
Instagram: @generation_of_worshipers
Youtube: Generation of Worshipers Band

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top