Video: FrankingNaGod - Praise Go Up Feat. BenjieNaGod - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: FrankingNaGod – Praise Go Up Feat. BenjieNaGod

Video

Video: FrankingNaGod – Praise Go Up Feat. BenjieNaGod

Video: FrankingNaGod - Praise Go Up Feat. BenjieNaGod

Kutoka nchini Kenya leo tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa Praise Go Up kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HipHop akifahamika kwa jina la FrankingNaGod.

Video hii imeongozwa na director Neo Manuel kutoka studio za Neo Manuel Pictures, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Resoundz Media chini ya mikono ya prodyuza Ondiko.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na FrankingNaGod kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 705 233461
Facebook: FrankNaGod
Instagram: @franknagod
Youtube: FrankingNaGod

Advertisements
1 Comment

1 Comment

  1. FrankingnaGod

    June 24, 2019 at 3:12 pm

    Nashukuru sana GOSPO Media

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top