Video: Ellyjoh - Pumzi - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Ellyjoh – Pumzi

Video

Video: Ellyjoh – Pumzi

Video: Ellyjoh - Pumzi

Kutoka kwenye albamu yake iitwayo PUMZI aliyoiachia mwaka 2017 mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam anayefahamika kama Ellyjoh ameachia rasmi video mpya inayobeba jina la album hiyo.

“Thanks and glory be my Lord and Saviour Jesus Christ Pumzi is a Swahili Word meaning Breath. Inspiration of the song comes from the truth that their is no life without GOD. Lets join together and worship, lift and praise the Name of our LORD GOD and Saviour Jesus Christ for truly He is our breath and reason for our life.” – Ellyjoh

Video hii imeongozwa na director Nezar kutoka studio za Kalmin & Chloe, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Salem Records chini ya mikono ya prodyuza Innocent Mujwahuki.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utakubarikiwa na kuguswa kwa namna ya pekee, Ameen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Elly Joh kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 684 334 036
Facebook: Ellyjoh255
Instagram: @ellyjoh255
Youtube: Ellyjoh255

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top