Video: Ada - Beautiful - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Ada – Beautiful

Video

Video: Ada – Beautiful

Ada-Beautiful

Kutoka kwenye Extended Play yake iitwayo ADA toleo la kwanza(volume) leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Beautiful kutoka kwa mkali wa nyimbo za Injili nchini Nigeria al maarufu ADA.

Toleo hilo la kwanza la EP yake mpya iliachiwa tarehe 26 April 2019 ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo tano ambazo ni pamoja na “No One Like You”, “Beautiful”, “The Final Say” na “Faithful God”.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa itakubariki, Amen.

Social Media
Facebook: Ada Ehi
Instagram: @adaehi
Twittter: @adaehi
Youtube: Ada

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top