Audio: Victor Praise - God Of Wonders - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Victor Praise – God Of Wonders

Audio

Audio: Victor Praise – God Of Wonders

Audio: Victor Praise - God Of Wonders

Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumeusogeza kwako wimbo mpya wa kuabudu unaoitwa God Of Wonders kutoka kwa mwimbaji Victor Praise.

“God of Wonders is a song I received after one my morning devotions and God laid it upon my heart to release this sound just to bless His children.” – Victor Praise

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

 

Social Media Connection:
Facebook: The Praise Maker
Instagram: @thepraisemaker
Twitter: @ThePraiseMaker

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top