Video: The Asaph Team - Ndoa - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: The Asaph Team – Ndoa

Video

Video: The Asaph Team – Ndoa

Video The Asaph Team - Ndoa

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumeisogeza kwako video ya wimbo unaoitwa Ndoa kutoka kwaya ya vijana KKKT Usharika wa Mavurunza Kimara.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na uongozi wa kwaya ya The Asaph Team kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 715 929 983 au +255 766 319 880
Facebook: TheAsaph Kimara
Instagram: @theasaphteam
Youtube: Official The Asaph Team

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top