Video: Steve Williz - The Living God - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Steve Williz – The Living God

Video

Video: Steve Williz – The Living God

Steve Williz - The Living God

Kutoka nchini Nigeria leo tunamleta kwako mtumishi wa Mungu anayefahamika kwa jina la Steve Williz ambaye ameachia video (live version) yake mpya ya wimbo unaoitwa The Living God, Ukiwa ni moja kati  ya nyimbo zinazopatikana kwenye albamu yake inayoitwa “Music in Me”.

“The living God is a song of exaltation of our lord Jesus, the breasted one, the king of kings, the living God.” – Steve Williz

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo mubashara na hakika utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Social Media
Facebook: Steve Williz
Instagram: @stevewilliz
YouTube: Steve Williz

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top