Video: Sobay Paul - Nimetua Kwako - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Sobay Paul – Nimetua Kwako

Video

Video: Sobay Paul – Nimetua Kwako

Video: Sobay Paul - Nimetua Kwako

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji Sobay Paul na hii ni video yake mpya ya wimbo unaoitwa Nimetua Kwako.

Video ya wimbo huu imeongozwa na director XD, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Ebenezer chini ya mikono ya prodyuza KBD na Sulle.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Sobay Paul kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 783 870 735
Facebook: Sobay Paul
Instagram: @sobaypol7
Youtube: SOBAYPOL TZ

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top