Video: Sephaniah Mwahalende - Usivunjike Moyo - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Sephaniah Mwahalende – Usivunjike Moyo

Video

Video: Sephaniah Mwahalende – Usivunjike Moyo

Video: Sephaniah Mwahalende - Usivunjike Moyo

Kutoka kwenye albamu yake ya kwanza iitwayo Nikurudishie Nini Bwana kwa mara nyingine tena tunaitambulisha kwako video ya wimbo unaoitwa Usivunjike Moyo kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Sephaniah Mwahalende.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki na kukuinua kila siku, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Sephania Mwahalende kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 759 395 239 au +255 658 991 822
Facebook: Sephania Mwahalende
Instagram: @sephaniamwahalende
Youtube: Sephaniah Mwahalende

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top