Audio: Raymond Ray - Wastahili - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Raymond Ray – Wastahili

Audio

Audio: Raymond Ray – Wastahili

Audio: Raymond Ray - Wastahili

Kutoka jijini Arusha kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Tanzania anayefahamika kwa jina la Raymond Ray na huu ni wimbo wake mpya wa kuabudu unaoitwa Wastahili.

“Huu ni wimbo wa Kumwabudu Mungu na kumzungumzia kuwa yeye ndiye pekee anayestahili Ibada yetu na hakuna mwingine kama yeye.” – Wastahili

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Raymond Ray kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 768 877 950
Facebook: Raymond Ray
Instagram: @raymondray_official
Youtube: Raymondray Official

 

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top